Psalms 44:4-8


4 aWewe ni mfalme wangu na Mungu wangu,
unayeamuru ushindi kwa Yakobo.
5 bKwa uwezo wako tunawasukuma nyuma watesi wetu;
kwa jina lako tunawakanyaga adui zetu.
6 cSiutumaini upinde wangu,
upanga wangu hauniletei ushindi;
7 dbali wewe unatupa ushindi juu ya adui zetu,
unawaaibisha watesi wetu.
8 eKatika Mungu wetu tunajivuna mchana kutwa,
nasi tutalisifu jina lako milele.
Copyright information for SwhNEN